Tawasifu hii inafuatia “wasifu wa Mwalimu Julius Nyerere” na “tawasifu ya Rais Benjamin Mkapa” na kuziba pengo lililokuwa limebaki katika kumbukumbu ya awamu tatu za mwanzo za uongozi wa Tanzania huru.Vitabu hivi vinasaidia kuweka historia sawa; vinaziba baadhi ya mapengo katika kuelewa mambo mbalimbali ya kihistoria. Kitabu kinaitwa “Mzee Rukhsa” kuakisi uongozi wa Rais Mwinyi aliyependa kutumia neno jepesi kama hili kuashiria mambo makubwa aliyokuwa akiyafanya kufungua mipaka ya uchumi na siasa katika Tanzania.